Sunday, June 3, 2012

DIRK KUYT AMEIHAMA KLABU YA LIVERPOOL NA KUJIUNGA NA FENERBAHCE YA UTURUKI KWA MKATABA WA MIAKA 3

DIRK KUYT,ameichezea liverpool mechi 250 na kufunga magoli 71 tangu mwaka 2006
DIRK KUYT
   Ametokea kupendwa na mashabiki wa liverpool na kuwa kivutio kikubwa kutokana na mchango wake katika ushindi wa 2-1 dhidi  EVERTON kwenye uwanja wa GOODISON PARK mwaka 2007 kisha alipofunga magoli 3 peke yake dhidi ya MANCHESTER UNITED mahasimu wakuu wa klabu kutoka ANFIELD.
     Msimu uliopita mshambuliaji huyo alipata shida kupata nafasi katika kikosi cha kwanza,alishiriki mara 22 pekee na kuletwa kama nchezaji wa ziada mara tano katika mechi 9 za mwiso wa msimu.             

No comments:

Post a Comment