Saturday, September 17, 2011

HAYA NI MAAJABU YA DUNIA,MBWA NA NYANI KUISHI PAMOJA.


Mbwa na nyani wanaishi pamoja pasipo tatizo lolote na wanasikilizana vizuri,hili si hali ya kawaida bali ni maajabu ya mungu kwa kifupi kila kitu kinawezekana chini ya jua.

No comments:

Post a Comment