Tuesday, June 5, 2012

AJALI MBAYA YATOKEA JIJI MBEYA,WATU 13 WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 19 WAJERUHIWA VIBAYA.

 

Gari la mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa eneo la tukio pembezoni mwa Baraabara.

Basi aina ya Coaster lililokuwa linatokea MBEYA kuelekea KYELA likiwa nyang'anyang'a muda mfupi baada ya kupata ajali iliyotokea eneo la MZALENDDO,watu 13 wamefariki dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa.



Mmoja wa majeruhi akiwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupatiwa matibabu .


.
Baadhi ya ndugu,jamaa na marafiki waliofika kwenye Hospitali ya Rufaa Mbeya wakiwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti kwa ajili ya kuwatambua ndugu zao muda mchache baada ya tukio.Picha zote na MBEYA yetu blog.

No comments:

Post a Comment