Sunday, June 3, 2012

USAIN BOLT AMEAHIDI KUWEKA REKODI MPYA YA DUNIA OLYMPIC 2012

USAIN BOLT

     USAIN BOLT,mwenye umri wa miaka 25 kutoka JAMAICA amesema ataweka record mpya ya dunia katika michuano ya olympic itakayofanyika jiji LONDON.
 Bolt anayeshikilia rekodi ya dunia ana medali tatu alizochukua BEIJING-CHINA mwaka 2008 kwa rekodi ya kukimbia kwa muda wa  sekundi 9.69.
BOLT   
Baada ya mwaka mmoja alivunja rekodi  kwa kukimbia mita 100 kwa muda wa sekunde 9.58 kwenye michuano ya dunia iliyofanyika BERLING.

No comments:

Post a Comment