Monday, September 3, 2012

PICHA ZA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI ALIYEUWAWA KWA BOMU KATIKA VURUGU ZILIZOTOKEA ENEO LA NYOLOLO MUFINDI.

Tunaomba radhi kwa picha unayoiona hapo juu,huo ni mwili wa marehemu DAUDI MWANGOSI aliyeuwawa baada ya kulipukiwa bomu eneo la Nyololo Mufindi katika mkoa wa Iringa.
 
Askari polisi wakiwa wamembeba askari mwenzao aliyejeruhiwa na bomu katika eneo la tukio,pembeni ni mwili wa marehemu.Picha na Vijimambo blog

No comments:

Post a Comment