Saturday, June 16, 2012

BRAND NEW AY ft Marco Chali - Party Zone [Official Video]

Big up AY kwa kazi nzuri video quality,warembo bomba hii kazi sema kweli inajiuza yenyewe haitaji promo,kila atakayeitazama lazima atoe comment zake kwa kiroho safi kabisa mi naipa 99.9%,ile maana halisi ya jina la mzee wa commercial basi imepata tafasri halisi.

No comments:

Post a Comment